31 Dec 2025 3:00 pm | Citizen TV 1,439 views Duration: 57s Timu ya taifa ya Tanzania imefuzu hatua ya 16 bora kwenye mchuano wa CHAN kufuatia sare ya bao moja dhidi ya Tunisia usiku wa jana. Uganda wameyaaga mashindayo kwa kichapo cha tatu moja kutoka kwa Nigeria.