- 6,263 viewsDuration: 2:49Takriban bunduki 31 zimesalimishwa Transmara kufuatia operesheni inayooendelea katika maeneo ambayo yamekumbwa na mapigano. Amri ya kusalimisha bunduki hizo ilikamilika jana lakini wananchi bado wameraiwa kuendelea kuziwasilisha. Huku hayo yakijiri, jamii ya Wamaasai kwa mara ya Kwanza ilikijitokeza kulalamikia operesheni hiyo ikisema inaegemea upande mmoja