1 Jan 2026 4:15 pm | Citizen TV 12,243 views Duration: 45s Juhudi za kutafuta abiria waliokuwa ndabni ya gari aina ya proobox iliyotumbukia mtoni huko Nyasita katia wadi wadi ua Shankoe Eneo bunge la Kilgoris zinaendelea baada msako wa usiku kucha.