5 Jan 2026 7:36 pm | Citizen TV 466 views Duration: 4:23 Wakulima humu nchini walitumia mwaka wa 2025 kubadilisha mbinu za kilimo na haswa uzalishaji wa chakula — wakikumbatia ubinifu, teknolojia na kuendeleza kilimo biashara.