Skip to main content
Skip to main content

Trump ashikilia azma yake ya kumiliki kisiwa cha Greenland. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    17,781 views
    Duration: 28:10
    Waziri Mkuu wa Denmark amesema Ulaya haitotishwa kwa kuongezewa ushuru na Donald Trump anayeendelea kutoa vitisho kuhusu kukichukua kwa nguvu kisiwa cha Greenland. Rais huyo wa Marekani ametilia mkazo msimamo wake wa kutaka kukinunua kisiwa hicho. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw