- 5,705 viewsDuration: 2:24Baraza kuu la makanisa nchini Kenya, NCCK limejitenga na madai ya uponyaji yanayotolewa na mhubiri David Owuor. Kulingana na baraza la NCCK, hakuna muhubiri mmoja mwenye mamlaka ya uponyaji, likiwatahadharisha wakenya dhidi ya kuhadaiwa.