Skip to main content
Skip to main content

Wachezaji wa zamani wa Harambee Stars washuhudia mchuano Kisii

  • | Citizen TV
    276 views
    Duration: 2:04
    Wachezaji wa zamani wa timu ya taifa, Harambee Stars wamewarai wadau wote katika sekta ya michezo kuzuru mashinani kuwatafuta wachezaji chipukizi kama njia moja ya kuimarisha viwango vya mchezo wa soka nchini.