- 3,136 viewsDuration: 3:12Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya miji, Alice Wahome sasa anasema huenda hatua ya mmiliki wa jumba lililoporomoka South C kuongeza ghorofa zaidi ya 12 zilisababisha kuanguka kwake. Waziri Wahome akikiri kuwa idara zilizohusika ziliruhusu ujenzi wa jumba lililopangiwa kuwa la ghorofa 12 kuongezwa na kusababisha hatarini