6 Jan 2026 1:06 pm | Citizen TV 5,583 views Duration: 1:45 Watu sita wamefariki baada ya kupata ajali ya barabarani katika sehemu ya Tunel Mendera barabara kuu ya Londiani kuelekea Muhoroni.