6 Jan 2026 1:08 pm | Citizen TV 586 views Duration: 1:15 Maafisa wa usalama katika Kaunti ndogo ya Chesumei kaunti ya Nandi wamewatia mbaroni watu wanne wanaoshukiwa kuhusika na biashara haramu ya pombe.