- 224 viewsDuration: 1:36Wakulima katika Kaunti ya Trans Nzoia wameshauriwa kukumbatia bima ya kilimo ili kujilinda dhidi ya hasara zinazotokana na changamoto za kilimo, hususan kiangazi na mafuriko. Ushauri huu unatolewa kufuatia ongezeko la hasara ambayo wakulima wamekuwa wakipata kutokana na mabadiliko ya tabianchi yanayoathiri uzalishaji wa mazao.