6 Jan 2026 1:12 pm | Citizen TV 352 views Duration: 1:30 Baadhi ya viongozi wa Chama cha ODM Malindi Kaunti ya Kilifi wamewataka viongozi wa Chama hicho kukoma kutofuatiana hadharani wakisema kuwa ni aibu na hatimaye wataathiri shughuli nzima za Chama hicho.