- 600 viewsDuration: 2:07Idadi kubwa ya wazazi wa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na gredi ya 10 wanaendelea kumiminika katika shule mbalimbali hasa shule za kitaifa kutafuta nafasi za usajili Kwa watoto wao kufuatia agizo lililotolewa na wizara ya elimu.