Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Mpeketoni wamtetea mwakilishi wa kike wa Lamu

  • | Citizen TV
    797 views
    Duration: 2:01
    Wakaazi wa Mpeketoni kaunti ya Lamu wamekemea vikali kitendo cha kuzomewa kwa mwakilishi wa kike Lamu Monica Marubu baada ya kusema yeye anaunga mkono Rais Ruto kuwania hatamu ya uongozi kwa mara ya pili akiwa Muranga. Kitendo cha Marubu kuzomewa na kukejeliwa kwenye hafla ya mazishi kimewaghadhabisha jamii ya watu wa Lamu. Wakaazi wameeleza kwamba tangu Raisi William Ruto achukue hatamu za Uongozi Amani imepatikana Lamu sawia na miradi ya maendeleo.