- 592 viewsDuration: 1:34Kundi la vijana walioathirika na dawa za kulevya katika eneo bunge la Mlima Elgon kaunti ya Bungoma limeitaka serikali ya kaunti ya Bungoma na ile ya kitaifa kuingilia kati ili kuwapa msaada utakaowawezesha kujikimu kimaisha baada ya wengi wao kubadilika.