Skip to main content
Skip to main content

Familia za waathiriwa tisa wa ajali ya Naivasha zatambua miili ya wapendwa wao

  • | Citizen TV
    1,687 views
    Duration: 2:55
    Familia za watu tisa waliopoteza maisha katika ajali ya barabarani ya Naivasha hapo jana walifika katika makafani ya hospitali ya Naivasha kutambua maiti za wapendwa wao. Familia hizo zinajumuisha ile ya watu watatu wa familia moja