Skip to main content
Skip to main content

Hofu ya usalama Angata Barrikoi yawazuia wanafunzi kurejea shuleni

  • | Citizen TV
    876 views
    Duration: 3:08
    Wanafunzi wa shule kadhaa za umma katika eneo la Angata Barrikoi kaunti ya Narok wamekosa kurudi shuleni kutokana na taharuki ya usalama eneo hilo. Huku baadhi ya shule zikiendelea kutumika kama hifadhi ya wakimbizi wa mapigano, nyingine zimeshindwa hata kufungua kwa hofu.