Skip to main content
Skip to main content

Karai yaorodheshwa miongoni mwa maeneo hatari barabarani

  • | Citizen TV
    4,179 views
    Duration: 4:27
    Halmashauri ya usalama barabarani imeorodhesha zaidi ya maeneo 200 yaliyo hatari zaidi barabarani. Miongoni mwao ni maeneo kadhaa ya barabara ya Nairobi - Nakuru ambayo yameendelea kushuhudia ajali. Eneo la Karai, Naivasha ni mojawapo na katika siku chache zilizopita, watu 9 wameaga dunia.