Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Jubilee wamtetea Uhuru Kenyatta kuhusu fedha za Azimio

  • | Citizen TV
    3,603 views
    Duration: 1:42
    Viongozi wa chama cha Jubilee wamemtetea rais mstaafu uhuru kenyatta kuhusu madai kwamba fedha alizotoa hazikuwafikia ma-ajenti wa muungano wa azimio katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022. Haya yanajiri huku seneta wa Migori Eddy Oketch akiondoa hoja ya kutaka kumtimua Edwin Sifuna kama katibu mkuu wa ODM