Skip to main content
Skip to main content

Shule ya Gatoto yakosa kufungua kutokana na mvutano wa ardhi Mukuru

  • | Citizen TV
    980 views
    Duration: 3:21
    Mvutano wa umiliki wa ardhi katika mtaa wa Mukuru kwa Reuben hapa nairobi umewaacha wanafunzi wa shule ya umma ya Gatoto kwenye njia panda, huku shule zikianza masomo kote nchini. Mvutano huu ukisababisha ghasia kati ya pande mbili zinazozozana kuhusu umiliki wa ardhi hii.