Skip to main content
Skip to main content

Mradi wa NYOTA Nakuru

  • | Citizen TV
    169 views
    Duration: 1:37
    Rais william ruto ameongoza mpango wa kutoa pesa za mtaji wa biashara kwa vijana katika mradi wa nyota jijini nakuru. Mpango huu unalenga kuwapa vijana shilingi elfu 50 za kuanzisha biashara ndogondogo ili kuwawezesha kiuchumi.