- 579 viewsDuration: 1:37Gavana wa Nairobi, Sakaja Johnson, amezindua mpango wa ufadhili wa masomo ya shule za sekondari wenye thamani ya shilingi milioni 170, unaolenga kuwasaidia wanafunzi 4,000 wenye bidii lakini kutoka familia zisizojiweza kote jijini Nairobi.