9 Jan 2026 1:11 pm | Citizen TV 272 views Duration: 1:52 Licha ya hali ya ukame kukithiri katika maeneo mengi kaunti ya Mandera, wanafunzi wengi wamehudhuria masomo katika shule nyingi za kaunti hiyo.