9 Jan 2026 1:33 pm | Citizen TV 538 views Duration: 2:02 Wanafunzi zaidi ya 120 Kutoka katika vitongoji vya wadi ya Oruba Ragana katika kaunti ndogo ya Suna Mashariki wamepata ufadhili wa elimu katika vyuo vya mafunzo anuwai.