- 816 viewsDuration: 4:19Huku maelfu ya watahiniwa wakiendelea kusherehekea matokeo bora kwenye mtihani wa KCSE mwaka wa 2025 kuna wale wanaojivunia hata zaidi baada ya kustahimili mazingira magumu na kufaulu. Aggrey Munandi, aliyekuwa mwanafunzi shule ya upili ya Dandora alipata alama ya 'A hasi' hii ni licha ya kuishi maisha ya uchochole na kutegemea shule kugharamia karo yake.