10 Jan 2026 7:38 pm | Citizen TV 8,241 views Duration: 1:09 Uchunguzi wa mauaji ya simba sita , tai 34 na fisi kadhaa unaendelea kufanywa na serikali ya Kenya ikishirikiana na ile ya Tanzania, kwenye hifadhi ya taifa ya Amboseli.