- 3,075 viewsDuration: 2:37Uchaguzi wa wajumbe wa Chama cha UDA mashinani ulifanyika hii leo katika kaunti ishirini katika vituo 12,000. Kinara wa chama hicho Rais William Ruto alipiga Kura Katika kituo cha koilel Kaunti ya Uasin Gishu ambapo alielezea umhimu wa uachaguzi huo kuimarisha misingi ya chama huku viongozi wengine wakisifia mfumo wa kidigitali wa kupigia kura uliotumika na chama hicho.