- 7,948 viewsDuration: 2:39Rais William Ruto ameanza ziara yake ya siku tatu mlima Kenya kwa kuhudhuria ibada katika eneo bunge la Othaya. Rais Ruto akitoa hakikisho kuwa ahadi alizotoa kwa watu wa mlima Kenya atazitimiza kabla ya kutafuta kura za muhula wa pili.