Skip to main content
Skip to main content

Mauti ya jengo Karen: Waliokufa watambulika, wanne wakiwa hospitali, uchunguzi umezinduliwa

  • | Citizen TV
    4,864 views
    Duration: 2:48
    Watu wawili waliofariki baada ya jengo kuporomoka katika eneo la Karen hapa Nairobi hapo jana wametambuliwa. Jamaa za waathiriwa walifika katika makafani ya Nairobi kutambua miili ya wawili hao Harrison Ngala na Tuju Mwandakwa. Haya yanajiri huku wafanyakazi wengine wanne walinusurika kwenye mkasa huo wakiendelea kutibiwa katika hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta.