- 2,056 viewsDuration: 2:46Washukiwa wawili wa wizi wa mifugo waliuawa kwa kuteketezwa huku mwingine mmoja akipigwa hadi kufa na wakaazi katika kijiji cha Yakwai eneo bunge la Bureti kaunti ya Kericho. Wakazi wanasema washukiwa hao walifumaniwa Jumapili asubuhi walipokuwa wakisafirisha ng'ombe wanaoshukiwa kuibwa kwa kutumia lori ambalo pia lilichomwa.