- 25,259 viewsDuration: 1:50Mgombea rais wa chama kikuu cha upinzani nchini Uganda, Robert Kyagulanyi Ssentamu @bobiwine maarufu kama Bobi Wine amewataka wafuasi wake kuungana na kumsaidia kuchukua uongozi wa nchi hiyo. - Licha ya mvua kubwa na ulinzi mkali maelfu ya wafuasi wa mwanasiasa walijitokeza kwa wingi kuhudhuria mkutano huo. Wengi wakipeperusha bendera ya taifa hilo - Aliandamana na mkewe Barbie Itungo Kyagulanyi pamoja na viongozi wandamizi wa chama cha NUP - - #bbcswahili #uganda #ugandaelections2026 #uongozi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw