Skip to main content
Skip to main content

Ubishi wa ardhi wagubika kanisa la SDA Kiambaa

  • | KBC Video
    3,423 views
    Duration: 3:27
    Baadhi ya waumini wa kanisa la Seventh Day Adventist huko Karura kaunti ndogo ya Kiambaa leo asubuhi waliandamana katika lango kuu la kanisa hilo baada ya kuzuiwa kuingia wakati wa ibada ya ushirika ya vijana iliyokuwa imepangwa.Waumini walisema walipata lango limefungwa na kulindwa na polisi. Juhudi za kuingia kanisani zilisababisha makabiliano ambayo yalisababisha majereha kwa muumini mmoja. Waumini hao wenye ghadhabu waliwashutumu wasimamizi wa kanisa hilo kwa madai ya kunyakua sehemu ya ardhi ya kanisa hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive