Skip to main content
Skip to main content

Timothy Nyongesa ahimiza msaada baada ya tatizo linaloathiri uwezo wake wa kuona, kuzungumza na kula

  • | KBC Video
    110 views
    Duration: 4:55
    Mwanafunzi wa kidato cha tatu kwenye shule ya kitaifa ya Nalondo ya wanafunzi wenye mahitaji maalum anatoa wito kwa wahisani kumpa usaidizi wa haraka wa kifedha baada ya tatizo la afya ambalo hutokea mara kwa mara kuathiri uwezo wake wa kuona, kuzungumza na ule wa kula. Familia hiyo imesema mwanao anahitaji msaada wa matibabu ambao huenda ukaokoa maisha ya Timothy na kumruhusu kuendelea na kuishi maisha yake ya kawaida. Tunawatahadharisha watazamaji kutokana na picha watakazozitama kwenye simulizi ifuatayo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive