Chama cha kitaifa cha walimu-KNUT, tawi la Nairobi, kimepata uongozi mpya baada ya kukamilika kwa chaguzi zilizoshuhudia ushindani mkali. Nyamae Kasina ni mwenyekiti mpya baada ya kujizolea kura 1,647 ambapo alimbwaga Nancy Nancy Macharia aliyepata kura 482 huku Mugwe Macharia akinyakua wadhifa wa katibu mkuu. Viongozi hao wapya waliochaguliwa wameahidi kutetea maslahi ya walimu na kushinikiza mazingira bora ya kikazi jijini.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive