Rais William Ruto anatarajiwa kufanya uzinduzi rasmi wa usambazaji wa mtaji kwa ajili ya biashara ndogo kwa zaidi ya vijana elfu 10,500 kutoka kaunti za Nairobi, Kiambu na Kajiado chini ya mradi wa serikali wa NYOTA hapo kesho. Mpango huu unawalenga vijana waliotengwa na wasio na masomo kama sehemu ya mkakati wa serikali ya kushughulikia ukosefu wa nafasi za ajira kwa vijana kupitia ujasiriamali.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive