Skip to main content
Skip to main content

BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    7,954 views
    Duration: 1:10
    Rais mteule wa Uganda, Yoweri Museveni, anasema anashukuru kwa ushindi, lakini alitarajia kura nyingi zaidi ya hizo.. Uchaguzi wa rais wa Uganda umemalizika na Rais anayechaguliwa Yoweri Museveni alishinda kwa 71% ya kura. Mpinzani wake mkuu, Bobi Wine, alipata 24%. Museveni anaema alitarajia zaidi. Laillah Mohammed anaelezea zaidi #bbcswahili #uganda #uchaguziuganda2026 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw