- 12,963 viewsDuration: 37sRais Volodymyr Zelensky amesema mazungumzo ya pande tatu kuhusu kumaliza vita nchini Ukraine yatafanyika kati ya Ukraine, Urusi na Marekani katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), baada ya kukutana na Rais Donald Trump huko Davos. Wakati juhudi za kidiplomasia zikionekana kuongeza kasi, Trump alisema kuwa mkutano wake na Zelensky ulikuwa mzuri. Sasa kipi kitarajiwe baada ya kikao cha mataifa hayo matatu kinachotarajiwa kuandaliwa Arabuni? @midababirye analichambua kwa undani suala hili katika Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. #bbcswahili #DonaldTrump #vlodomirzelensky Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw