Skip to main content
Skip to main content

"Si vyema kuendelea kuzungumzia yaliyotokea Oktoba 29"

  • | BBC Swahili
    15,502 views
    Duration: 1:26
    Makamu wa Rais nchini Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema si vyema kuendelea kuzungumzia yaliyotokea Oktoba 29, 2025 na kwamba kufanya hivyo kunatonesha vidonda, na hakulitendei haki taifa. 🎥: Mahakama ya Tanzania #bbcswahili #tanzania #octoba29 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw