Skip to main content
Skip to main content

Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Zambia Lungu aamriwa kusalimisha mali zake

  • | BBC Swahili
    25,220 views
    Duration: 2:05
    Mahakama Kuu ya Zambia imeamuru kukamatwa kwa mali zenye thamani ya zaidi ya $1.3m za Dalitso Lungu,. ambaye ni mtoto wa Rais wa zamani Edgar Lungu. #bbcswahili #zambia #tiktoktanzania🇹🇿 # Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw