Skip to main content
Skip to main content

ODM wamtimua Sifuna kama Katibu Mkuu kwa msimamo wake kinzani

  • | Citizen TV
    41,077 views
    Duration: 3:22
    Mawingu ya kufurushwa kwa Edwin Sifuna kama katibu mkuu wa ODM yalianza kutanda kwa muda sasa kutokana na msimamo wake kinzani na virara wenzake chamani. Msimamo wake mkali dhidi ya muungano wa ODM na UDA ukimchongea, baraza kuu la chama cha ODM leol ikitia kikomo safari yake ya ukatibu chamani ODM