- 4,816 viewsDuration: 7:27Kila mwaka, mchanga wenye thamani ya mabilioni ya dola unasafirishwa kinyemela kote duniani. Magenge ya uhalifu yamekuwa yakijihusisha na biashara hii haramu, yakitumia hofu, hongo na ukatili. Hapa, tunaangazia jinsi uchimbaji haramu wa mchanga unavyoathiri jamii na kuharibu mazingira. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw