Skip to main content
Skip to main content

"Nataka nije nifundishe mbwa wanaoweza kusaidia wagonjwa'

  • | BBC Swahili
    6,900 views
    Duration: 1:56
    Kutana na @lisa_fickenscher mkufunzi wa mbwa ambaye si tu anafundisha utiifu,bali pia anajenga nidhamu, uaminifu na mahusiano bora kati ya mbwa na wamiliki wao. Lisa anampango wa kujiendeleza kimasomo ili aweze kufundisha mbwa watakaoweza kuwahudumia watu wenye uhitaji maalaumu kama vile wagonjwa wa kifafa na Kisukari Mwandishi wa bbc @loko_omi alikutana naye 🎥: @bosha_nyanje #bbcswahili #tanzania #foryou Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw