Skip to main content
Skip to main content

Waliokosa kusafiri na Johanna Ng’eno wasimulia jinsi walivyoshindwa kuabiri ndege

  • | Citizen TV
    38,374 views
    Duration: 2:43
    Alikosa kuabiri ndege iliyokuwa imewabeba watu sita waliofariki kwenye ajali ya ndege ya Nandi baada ya kuchelewa kufika. G.K Kechwa alitarajiwa kusafiri ila akaachwa baada ya pikipiki iliyokuwa ikimpeleka kwenye angatua kupata hitilafu. Na kama Laura Otieno anavyoarifu, Kipchirchir Mosonik naye pia anaeleza namna alikosa kuabiri ndege hiyo kwa kuwa ilikuwa imejaa.