Skip to main content
Skip to main content

Trump: 'Khamenei ameuawa'

  • | BBC Swahili
    26,851 views
    Duration: 38s
    “Khamenei, mmoja wa watu waovu zaidi katika Historia, amekufa,” Rais wa Marekani Donald Trump ameandika kwenye Truth Social. Serikali ya Iran haijathibitisha taarifa hiyo, mapema jumamosi ilisema kuwa kiongozi wao yupo hai na salama #iran #israel #bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw