- 150 viewsDuration: 3:15Walimu zaidi ya 160 wa chekechea kutoka shule za serikali na za kibinafsi zilizoko Kajiado Kaskazini wamepewa mafunzo maalum ya kuimarisha elimu jumuishi na ustawi wao wa kisaikolojia. Baadhi yao wanasema hawajakua wakielewa jinsi ya kuwajumuisha watoto walio na ulemavu darasani