Skip to main content
Skip to main content

Mpango wa kuzalisha mifugo kisayansi wazinduliwa Kajiado

  • | Citizen TV
    621 views
    Duration: 4:34
    Kaunti ya Kajiado, moja ya kaunti kame na inayokumbwa mara kwa mara na ukame nchini, sasa inanufaika na mpango wa kisayansi wa uzalishaji wa mifugo unaolenga kuongeza idadi ya mifugo kupitia matumizi ya teknolojia ya homoni, huku kaunti nne nyingine zikilengwa katika awamu zitakazofuata.