- 291 viewsDuration: 1:36Viongozi wa kidini na wa vijana wamewataka Vijana kujiepusha na ghasia katika mikutano za siasa na badala yake kuzingatia amani. Wakizungumza katika hafla ya kanisa la Quakers iliyoandaliwa katika shule ya upili Kakamega iliyowaleta pamoja Vijana elfu tano kutoka eneo pana la Magharibi, baadhi ya viongozi wa vijana katika kanisa hilo wamelaani hali ambayo imeshuhudiwa katika baadhi ya mikutano ya kisiasa nchini.