Skip to main content
Skip to main content

Kambi ya matibabu Kimilili yatibu wagonjwa bila malipo

  • | Citizen TV
    202 views
    Duration: 2:05
    Serikali imetakiwa kuangazia upya mgao wa bajeti katika sekta ya afya ili kukidhi mahitaji ya wagonjwa kote nchini. Wakizungumza kule kimilili kwenye kambi ya matibabu kwa wagonjwa wasiojiweza, wadau wa afya wamesikitikia idadi kubwa ya wagonjwa wenye maradhi mbalimbali huku wengi wakishindwa kumudu gharama ya juu ya matibabu . Kwenye hafla hiyo zaidi ya wagonjwa 500 walipata matibabu bila malipo kutoka kwa wataalamu wa afya kutoka hospitali mbalimbali .