- 956 viewsDuration: 2:15Uchunguzi wa ndege iliyosababisha vifo vya watu 6 akiwemo mbunge wa Emurua Dikirr Johana Ng'eno imeingia siku yake ya pili, huku wachambuzi wa ajali za ndege wakifika katika eneo la mkasa kaunti ya nandi. Kamati ya pamoja ya uchunguzi ikiwa tayari imewahoji watu 8 kuhusiana na ajali hiyo ya jumamosi iliyopita