2 Mar 2026 7:38 pm | Citizen TV 1,527 views Duration: 1:24 Watu wawili wamefariki huku mmoja akiwachwa na majereha kwenye ajali ya barabarani eneo la mto mawe athiriver kaunti ya machakos mapema leo.